Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nyau wewe!!! Unapenda hela kama Wallet[emoji28]

Hiyo Damu uliambiawa ipo nyingi au unajisemea tu?

Nakumbuka kuna wakati nilienda ku'donate Damu bhana... nikijua damu imezidi.. Ile nafika wananichukua vipimo.. nikaambiwa sina damu ya kutosha[emoji848]... wakanielekeza vitu vya kuongeza damu.. Nilichoka.
Dada wewe hupendi hela?

Mie ninayo nyingi sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawaza huyo anayeongezewa damu yako masikini[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mbwa anaweza kutambua muda wako wa kurejea nyumbani kutokana na hatufu yako ya mwili uliyoacha nyumbani kabla ya kuondoka.
Screenshot_20220627-175104_OGInsta%2B.jpg
 
Back
Top Bottom