Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ninong'oneze..
....my dear stranger, akikunong'oneza utasahau yote ya kweli niliyokuambia. Ni mtego, halafu huyu ni anko wangu lakini tuna uadui wa ukoo, muulize Nigendako ni shahidi.

Nimempigia simu kanibuloku, nimemwandikia barua EMS wataifikisha kwa dispatch
Dalili za kupigwa chini zinazidi kuongezeka, jamani mimi nina nini na ndugu zangu!?
 
Back
Top Bottom