Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aunty haya mambo ni zamu zamu jamani, bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi tasavali [emoji23][emoji23]

Mimi mbona siku nyingine akiwa anawaita hivyo huwa natulia tu, hata mimi ningependa awe ananiita hivyo ila inatakiwa tusubiri siku akijisikia tusimlazimishe [emoji1787][emoji1787]

Yaani raha ya kuitwa hivyo hutakiwi kuomba unaacha tu siku akijisikia mwenyewe anakuita hivyo then unajua this is from the heart, basi bichwa hilooo [emoji16][emoji16]
Mimi hajawahi kuniita hivyo... abadani,[emoji28]
Ni matusi tu... mara eti kichwa changu kama Ubuyu...
Kweli jamani?
 
Back
Top Bottom