Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,837
- 183,041
Weeeeh!! Sasa buku 3 auntie nafanyia nini [emoji134][emoji134][emoji134]Auntie anza hivyohivyo wanakupandisha mpaka kwenye malaki
Na hadi nifike huko kwenye malaki[emoji849][emoji849][emoji849]
Weeeeh!! Sasa buku 3 auntie nafanyia nini [emoji134][emoji134][emoji134]Auntie anza hivyohivyo wanakupandisha mpaka kwenye malaki
Auntie umeanza sasa mambo zako kunichosha ujue ni hivi kadri unavyolipa na kukopa ndio kiwango kinapandaWeeeeh!! Sasa buku 3 auntie nafanyia nini [emoji134][emoji134][emoji134]
Na hadi nifike huko kwenye malaki[emoji849][emoji849][emoji849]
Ndio nikope buku tatu auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie umeanza sasa mambo zako kunichosha ujue ni hivi kadri unavyolipa na kukopa ndio kiwango kinapanda
Habari za masiku mengi nkamu
Uko kukata tamaa mwanzoni auntie ndio kunakuponza wenzio tumeanza hivyohivyoNdio nikope buku tatu auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu kuwa serious, wanitue[emoji1787]
Endelea kumwombea ili awe na upendoYeye ndiyo ananipendi Mndali..
Ila mimi nampenda..