Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220618-073833_OGInsta%2B.jpg
 
YACOUBA:AZIZ KI ANAKUJA YANGA
.
Mshambuliaji wa Yanga, Yacouba Sogne juzi usiku kwenye Uwanja wa Mkapa alitinga uzi wa Aziz Ki anayesubiriwa na mashabiki wa Yanga na kusisitiza kwamba anakuja kuitumikia timu hiyo kwa msimu ujao.
.
“KI Aziz amenambia anakuja hapa Yanga nina uhakika atakuwa nasi msimu ujao amenihakikishia hilo, atamalizia msimu tu kule atakuja,” amesema Yacouba.
.

……………….
Screenshot_20220618-074026_OGInsta%2B.jpg
 
CLASS, MFAUME MFAUME WAONDOLEWA BOXREC
.
Wakati Twaha ‘Kiduku' na Abdallah ‘Mbabe’ Pazi wakipanda kwenye ubora, Ibrahim Class ameporomoka kutoka nafasi ya pili hadi kuondolewa kwenye viwango vya ngumi nchini.
.
Class, aliyekuwa bondia namba mbili nchini kwenye uzani wa pound for pound', Ameondolewa na kuonekana hayupo hai katika Viwango vya ngumi vilivyotolewa na mtandao wa ngumi za kulipwa (Boxrec).
.
Mwingine aliyeondoshwa kwenye renki ni Mfaume Mfaume ambaye Julai mosi atapanda ulingoni kuzichapa na Abdunomem Said kutoka Misri.
Screenshot_20220618-074142_OGInsta%2B.jpg
 
POGBA AIKANA MAN UNITED
.
Paul Pogba ameikana Manchester United kuwa haikumpa ofa ya mkataba wowote, kama taarifa zilivyokuwa zikiripoti kwenye tetesi za usajili.
.
Pogba alitoboa siri hiyo iliyofichuliwa kupitia Makala yake binafsi (Pogmentary) inayoelezea maisha yake ya soka iliyozinduliwa wiki iliyopita.
.
Akizungumza kuhusu mkataba wake na Man United, Pogba alisema “Hivi inakuaje unamwambia mchezaji kuwa unamhitaji bila ya kutoa ofa yoyote? Kwa upande wangu sijawahi kuona kitu kama hichi”
Screenshot_20220618-074240_OGInsta%2B.jpg
 
VITINHA [emoji3591] PSG DONE DEAL

Kiungo wa FC Porto, Vitinha amekamilisha dili la kujiunga na miamba ya Ufaransa PSG kwa kiasi cha Euro Million 40

Kwa mujibu wa nguli @fabriziorom Manchester United hawakuwahi kuhitaji saini ya kiungo huyo
Screenshot_20220618-074424_OGInsta%2B.jpg
 
Yaani mkinipa hela sasa ndio itakuwa inatoka from ze hati na bandama na firigisi zote. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aahh hapana utakuwa umefanya hivyo sababu ya pesa na si sababu ya upendo
Kati ya mtu anayeitwa hivyo kwa kutoa pesa na mtu anayeitwa hivyo bila kutoa chochote yupi anapendwa
 
Back
Top Bottom