Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Asante usjaliHapo sawa baba.
Asante usjaliHapo sawa baba.
Majambazi.Auntie makiii naona no ngeni hupokei si eti nakuja kuona umenipigia na me sijapokea. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah!! Huko hakufai eti nikope buku 3 seriously?Hahaha tukakope songesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa jamani, au niache tu kuuliza manake nisijesemwa hapa. Ila hapana, huu mlima ulivyo mrefu wapandaje ewe binti..ni nani anakushika mkono[emoji3][emoji3]
He he he he...[emoji1][emoji1][emoji1] Kakope basi na mie unaigawie.. maana leo njaa kali kweli kweli mama lishe kagoma kutukopa
Kweli tenaHasara kitu gani bwana, siamini kama kasema hivyo.
Ngoja nifikirie..Ebu tujadili apa ebu tuchague auntie Hadde Espy Atoto jina gani jamanii
My Rich Aunty....Jamani mbona nafanya miamala sana hata sijui nafeli wapi
Kabisa Auntie...Wote tuna majukumu auntie ila usiadimike sana bwana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ndio umeachiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah nyehungeeee![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwanini liwalo na liwe sasa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha bwana!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Tumeachia...
Si uwe unaniita na mimi hivi jamani....Good evening love, umeshindaje?
Siujui hata![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sijui hata...
Ni wimbo nimetokea kuupenda mno siku hizi...
Na huku ni wa kitambo...
Itakuwa ni matumizi mabaya ya hilo neno[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si uwe unaniita na mimi hivi jamani....
Sasa neno Love ni la kuacha kuniita kweli?
[emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Havifundishiki hata.. vilitupata tukapatana navyo..
[emoji16][emoji16][emoji16]hujui line yake ni special, ukituma muamala unaoneka na wewe mtu mzito lazima gawio likuhusu.. [emoji1][emoji1]