Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,322
- 35,823
...na kawaida ya chawa huwa anahakikisha hupati namba ya bosiMkuu, buku saba tu kama wanazogawa kule lumumba ukiwa chawa wao!
...na kawaida ya chawa huwa anahakikisha hupati namba ya bosiMkuu, buku saba tu kama wanazogawa kule lumumba ukiwa chawa wao!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Zipo ila hawazalishi za kutosha
Ila za kukuletea zitakuwepo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sijambo, shikamoo momma. Bana weee natengeneza mbadala kwenye hakuna😂😂😂Tangu ukue unajikuta unatengeneza mbadala wa O2 ulivyo busy!! Hujambo dota?
Miaka 1000🥰🥰🥰🥰🥰Si unajua kwamba tunakupenda sana sana
Hapo sawa baba.Ila za kukuletea zitakuwepo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijambo, shikamoo momma. Bana weee natengeneza mbadala kwenye hakuna[emoji23][emoji23][emoji23]
Uduvi au ng'ong'o?🏃🏃🏃[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukikamilisha nigawiepo tu kwakweli.
Waelimishe baadhi wa waandishi wa habari hususan watangazaji pamoja na raia huwa wanashindwa kutamka jina hilo kwa usahihi.Alyekuwa kiungo wa Manchester United, Nemanja Matic amejiunga na AS Roma ya Italia kwa kandarasi ya mwaka mmoja hadi 2023.
Matic ameungana tena na kocha Jose Mourinho kwa mara nyingine baada kumsajili kutoka Benfica kwenda Chelsea kisha Man United na sasa As Roma.View attachment 2261827
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uduvi au ng'ong'o?[emoji125][emoji125][emoji125]
Kesho vitakufuataa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vyote, ninevimiss kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23] Una niniii auntieKwavile wote waanzilishi wamekimbia, basi waandike mtoto mlito mlito forum[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntieee bwanaAuntie ujue sie tumekuvamia kwenye jukwaa lako. Waliite tu shunie and family chit chat sasa maana tushaufanya uzi wetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Busara forum, labda tumuondoe makiwendo kwanza[emoji1787]
Airtel ni timiza uko ebu wajaribuSina line ya tigo sasa. Airtel labda.
Hivi kukopa mwisho shilingi ngapi?
[emoji7][emoji2956][emoji2956]Miaka 1000[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Sijambo we mzee jamanii nakumiss tu sanaWaelimishe baadhi wa waandishi wa habari hususan watangazaji pamoja na raia huwa wanashindwa kutamka jina hilo kwa usahihi.
AS Roma =ei esi Roma ✓, badala yake husema
ei sii Roma ×
BTW nakusalimu sana
Hahaha tukakope songeshaMie nimevimbiwa hapa nawaza tu wa kumkopa.