Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,322
- 35,823
....magoli yako pale pale mdau sema tu kila mmoja ashinde mechi zake, ligi ngumu sanaWewe ujue naona unataka kuhamisha magoli wakati naona
....magoli yako pale pale mdau sema tu kila mmoja ashinde mechi zake, ligi ngumu sanaWewe ujue naona unataka kuhamisha magoli wakati naona
Hahaha kumbe we ndio ulituuzia hapo mizani ya njia panda ya kwenda masasi....hesabu umepata maana mimi mbali na mashamba ni mlinzi kwenye ghala.
Unataka gunia ngapi!? Nitakupa punguzo bei ya ndani kabisa. Anko Lee nilimuuzia kilo 100 kwa bei ya bundle la mwezi
Sawa ila jua mi niko jirani na Sumbawanga nikiona inafaa naweza kuanzia hapo....magoli yako pale pale mdau sema tu kila mmoja ashinde mechi zake, ligi ngumu sana
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].....umejuaje!? Au ndiyo ile mamba akikuambia kenge anaumwa, utambishia!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....tulia mdau, hizi za Mtwara ndiyo zenye protein nyingi.
Za Ikwiriri zimeathirika na fitna na majungu
Huh!! Kyela kuna korosho!!Oooh sawa nitakuletea za kyela mkoani mbeya
....kitanda hakizai kharamSi uko na binti yangu unamzalisha asubuhi na jioni!!
Watoto wenyewe hata hufanani nao[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....hesabu umepata maana mimi mbali na mashamba ni mlinzi kwenye ghala.
Unataka gunia ngapi!? Nitakupa punguzo bei ya ndani kabisa. Anko Lee nilimuuzia kilo 100 kwa bei ya bundle la mwezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa ila jua mi niko jirani na Sumbawanga nikiona inafaa naweza kuanzia hapo
Niharakishe nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....kitanda hakizai kharam
Vile anko wangu akiota kuzalisha asubuhi na jioni
View attachment 2263826
Huh!! We subiri.Si hiyo ya kurogwa...
...don't think just do it. (Captain Maverick Top Gun phrase) nimeikopa hii[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
....kama ni kilo 5 tu, basi hesabu umepata.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nataka kilo 5 tu.
Mweeeeh!...don't think just do it. (Captain Maverick Top Gun phrase) nimeikopa hii
Kazi ipo[emoji134]....kama ni kilo 5 tu, basi hesabu umepata.
Nyumba yako ina anuani ya makazi!? Kama tayari nidipu nakuletea hadi mlangoni, ila ujue tip-ping sio mji china
Zipo ila hawazalishi za kutoshaHuh!! Kyela kuna korosho!!
Sio unanipanga kweli?
Mkuu, buku saba tu kama wanazogawa kule lumumba ukiwa chawa wao!Hongera kwa kupata gawio.
Wewe na serikali mko sambamba
Hahaha, mkuu unenichekesha mno.Tutahamia mikoani huko, tuwaachie barabara zao wapite na maving'ora yao...
Mambo wanatufanyia ni sawa na kumshindisha mtu njaa halafu unamwambia ajambe...
Mimi mpare, nadumisha mila tafadhali. Hujui tu vile ukiwa na hela hata njaa haiji.Na hapo hujanitumia hata buku[emoji134][emoji134]
God is watching you.