Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,753
- 109,851
Hela zipi sasa mkwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipe hizo ulizojaza nami nitumie.
Mkwe, nipe nikupe
Hela zipi sasa mkwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipe hizo ulizojaza nami nitumie.
Shem nataka korosho......sahihi kabisa my dear.
Karibu sana Mtwara uangalie jiji ndani ya mji
Hata sio tutusiHuto ni tutusi tudogo dogo
Kwa nini aondolewe?Busara forum, labda tumuondoe makiwendo kwanza[emoji1787]
Si uko na binti yangu unamzalisha asubuhi na jioni!!Mkwe, nipe nikupe
Hongera kwa kupata gawio.Mwaka huu airtel wamenipa Tsh.7,544.22. Hili ni gawio la kunitosha miezi mitatu nikisubiri lingine 😀😀
Yeye na busara wana ugomvi wa kudunu.Kwa nini aondolewe?
Korosho si hata hapo ikwiriri ya pwani zipo?Shem nataka korosho.
Si nakuloga tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Duuuh ngoja nielewe kwa herufi KUBWAYeye na busara wana ugomvi wa kudunu.
Mie niko huku nyarugusu, hazipo.Korosho si hata hapo ikwiriri ya pwani zipo?
Niharakishe nini?Hebu harakaisha mkwe...[emoji12][emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuuh ngoja nielewe kwa herufi KUBWA
.....umejuaje!? Au ndiyo ile mamba akikuambia kenge anaumwa, utambishia!?Busara forum, labda tumuondoe makiwendo kwanza[emoji1787]
Sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Korosho si hata hapo ikwiriri ya pwani zipo?
Oooh sawa nitakuletea za kyela mkoani mbeyaMie niko huku nyarugusu, hazipo.
Hahaha.....umejuaje!? Au ndiyo ile mamba akikuambia kenge anaumwa, utambishia!?
Wewe ujue naona unataka kuhamisha magoli wakati naona....tulia mdau, hizi za Mtwara ndiyo zenye protein nyingi.
Za Ikwiriri zimeathirika na fitna na majungu