Makapuku Forum

mkuu na magumu yote haya ila nimeamua sitaki ukapuku. Na kweli saivi nalalama kinyama manake hata ningekuwa na gari au nyumba au simu ya tachi, vingenishinda kuhudumia, hii smart kitochi idumu sana.
 
mkuu na magumu yote haya ila nimeamua sitaki ukapuku. Na kweli saivi nalalama kinyama manake hata ningekuwa na gari au nyumba au simu ya tachi, vingenishinda kuhudumia, hii smart kitochi idumu sana.

Hahah...ukapuku utaendelea tu

Muda si mrefu kwenda Mbezi, Kiluvya, sijui Kibamba huko inakuja tozo ya kupita kwenye barabara yao hiyo mpya...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…