Ahaa kumbe umehamia kwenye nyumba ingine ile siku ile umenituma nipeleke zile taa kule bahari beach ile ya ufukweni kule eeeh! jumamosi nitakuja nikusalimie dada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila HM... sasa mimi huko Masaki naenda kufanyaje jamani?
Mitaa yenu hiyo.. si unaona hadi Hotel unaijua[emoji2]
Uzuri hizo unakwenda nazo[emoji1787][emoji1787]Utarithi dhambi[emoji28]
Una matatizo mengi walah![emoji174][emoji174][emoji174]
Napendaga nywele zake zilivyo...
Nikukute basi.Kwendaaaaa....
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nakujua dada yangu wa nguvu huna makuu na hupendi show [emoji2][emoji2] nije kunywa hata chai Tajiri yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jinga wewe...
Nilikuoa lini?Hebu niache we' Binti..
acha niingie kwa muhindi sasa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Haya bhana..
Ulitoboe mwenyewe halafu mimi nishindwe!![emoji134][emoji134][emoji134]Shindwaaaa[emoji28]
Ninapoenda napajua mimi...Lift uende wapi tena.. dalala lini ikawa na lift mia nne yako tu unapanda [emoji2][emoji2][emoji2]
Basi karibu chai na mkate.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mbele ya chai hakuna mkate mgumu...
alafu kwanini ulikata ile course pale Havard ambayo wanakutana matajiri na viongozi wakubwa wakubwa tu duniani nakumbuka hata Sumaye alifanya ile course ya mambo ya Leadership sijui.. au biashara zimekutinga ☺️☺️..Ninapoenda napajua mimi...
Nikuchek saa ngapi sasa? Nile Kiyoyozi mimi[emoji3]waiiiii
Unamkaribisha chai aina gani na mkate wa aina gani ? Huyu ana mikate yangu maalumu huwa inatoka Egypt kitu kama sikosei na chai yake ni maalumu sidhani kama majani yanapatikana kwa mangiBasi karibu chai na mkate.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] Kitu DZD Autobiography ni [emoji91][emoji91][emoji91] kina Shunie hujawapa hata lift au kwakua unafanya siri.. Inabidi unisamehe kwa kuwa kihele hele kusema una Range Rover mpya
Umefanya siri, mie nilikuta parking nimeunga dot uliposema matajiri mnabadilisha magari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha hizo HM.... sasa wewe hadi umejua kina Shunie wasijue kweli?
Si unaona hadi wao wanashangaa tu[emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ahaa kumbe umehamia kwenye nyumba ingine ile siku ile umenituma nipeleke zile taa kule bahari beach ile ya ufukweni kule eeeh! jumamosi nitakuja nikusalimie dada
Nyingine nakuachia.[emoji38]Uzuri hizo unakwenda nazo[emoji1787][emoji1787]
Matatizo yangu mengi yapi sasa jamani...Una matatizo mengi walah!
hauwezi kujua kwa idadi ya nyumba ulizo nazo ngumu kukumbuka asee, labda yule PA wako ndio anajua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dadeki...
Si unaona unavyoijua vyema mitaa yako hiyo? Mimi huko hata sipajui aisee[emoji1]