HM, HM, HM,Mie ningekuwa jirani yako Boss dada ningenenepa mbona.. huku napo kaa hiyo Jeep yako itapita wapi maana tubboda boda haiingii huku uswazi kwetu
Kuulizwa maswali na mpenzi kunapunguza upendo maana mwanaume ataona anafutiliwa mno
Nimecheka....Mimi ndiyo maana kuna vitu sitakagi kuchosha akili yangu...
Naweza kuwa najua A-Z na nisiulize...
Thank you auntieYou are Welcome Toto...
Ndiyo...Ni Aunty hivyo hivyo...
Au Espy Atoto na ile ngeli yake atusaidie...
Guta langu lipo kariakoo linapiga deiwaka.. niger hata kazi basi Tajiri boss dada maisha magumu.. nigae connectionHM, HM, HM,
Nimekuita mara tatu
Kesho nipande Lile lako basi
Asante shemNaaaaaam...
Haha hapo unakuta kawaambia hivyo wanawake ka hamsini hivi
Huwa wanajibu, ila jibu lao "wewe ndio malikia pekee wa moyo wangu". Unaitikia tu sawa baba.
Hahaa auntie kwani wewe ni mwenzetu sasaKwa hiyo na wewe unakazia maneno yake huyo Tajiri Binti yangu?
Anitabiria yaliyo mema
Siyo Mwanaume tu Mndali...Kuulizwa maswali na mpenzi kunapunguza upendo maana mwanaume ataona anafutiliwa mno
Kikwetu hata hakipo.Nifundishe kwanza kikwenu...
Yes...Thank you auntie
Mwenyewe naonaga aunt ndiyo linatumika kote kote kwa shangazi, mama mkubwa, mama mdogo
Haha aje atusaidie kwa kweli
Si ndio!When? How?
Mzoefu.
Unanichafua...sijachafuliwa
Na kimbinyikoNdio mabasi yake yale
Na wanawake huwa tunauliza maswali ambayo tuna majibu yake
Nimecheka....Mimi ndiyo maana kuna vitu sitakagi kuchosha akili yangu...
Naweza kuwa najua A-Z na nisiulize...
Guta langu lipo kariakoo linapiga deiwaka.. niger hata kazi basi Tajiri boss dada maisha magumu.. nigae connection
Kilivyo kigumu...Utakiweza?
Ni mwenzenu kabisa Toto... Wanijua vyema..Hahaa auntie kwani wewe ni mwenzetu sasa
Zitafute tu baba, we love youUtafutaji mama na ukumbuke ahadi yangu ya kuhakikisha na kuhudumia kwa asilimia mia
Nisipo tafuta wataniibia wenye uwezo wa kuhudumia
Mwanamke kama wewe unahitaji matunzo
Hivyo ili nikutunze lazima nizitafute kwel kweli