Hahaaa you seeNimegundua kati ya hayo yote ni karma pekee ndilo nalikumbuka.
Hahaha basi tuzoee tu na hili dear hamna namnaMimi mmojawapo kiukweli nimelizoea karma
Aah kuelewa sio shida zangu[emoji1787][emoji1787]Naona auntie husomi na kuelewa si eti
Huh!!Alipe kwanza nilete na za yanga
Lazima ni me, wanawake hatuna hivyo viherehere [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hukawii kuja kubambikwa kesi isiyokuhusu jamaniLazima ni me, wanawake hatuna hivyo viherehere [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hukawii kuja kubambikwa kesi isiyokuhusu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaishi na matajiri wenzeao mie huku madongo kuinamaa nitapajia wapi [emoji51][emoji51][emoji51] Ivo oil ya jeep yako unachukuliaga wapi
Huyo mtu amenisema sana Auntie...Auntie nimekutetea hapo sura pana tunajaza wote
Aki tena... hebu niache hiki kiherehere nibaki hapa kwa App...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukome auntie na kiherehere chako we huoni kila siku watu wanalalamika na browser mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kikubwa uhai auntie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nijaze mama umekuwa Heaven Sent na Saint Anne
Shem squareeAki tena... hebu niache hiki kiherehere nibaki hapa kwa App...
Heshima yako mkuu wangu ! Nilikuona pale upo na wazito wenzako nikapunga mkono sijui uliona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Oil ya Jeep...[emoji2]Acha hizi mambo blaza..
Kwa kweli Mdogo wangu....Hahaha tutafute pesa yote yanawezekanika
Yani hata siyo mambo ya kufurahisha dada
Maisha ni magumu
Platinum wewe haikufai...Na Max hawezi kukupa[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] itabidi unilipie platinum ili nisipige id chini haraka haraka .. wa kishua hata sijui kuogelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MITHALI 10:1-25 SUV
Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye. Hazina za uovu hazifaidii kitu;
Auntie Espy Atoto picha hiyo ya mama yake Ronaldo akiliaView attachment 2253810
acheni hizo dada zangu wazuri, kunifanyia fitina tena hiyo wewe tu unaimalizaPlatinum wewe haikufai...Na Max hawezi kukupa[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Shukrani ya punda mateke bwana auntie nimekuzoea [emoji1787][emoji1787]