Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Afadhali ht kumezwa tu na papa kuliko kufukuliwa kaburi ili umpishe mnafiki siti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
bora kuzikiwa baharini au?
.........
Afadhali ht kumezwa tu na papa kuliko kufukuliwa kaburi ili umpishe mnafiki siti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
bora kuzikiwa baharini au?
Zamani walikuwa wanachimba kimo cha kaburi mita tatu kwenda chini, siku izi ni mbili. Kwa maeneo yenye population kubwa ni mita moja.... Hii inamaana kuna maghorofa.....Mi sizikwi DSM ng'o.....kijijini ndio mpango
Mambo gani haya ya "kuamshana"
![]()
![]()
![]()
........
Niaje kiongozi?Ikumbuke siku ya sabato na uitakase...
Mbona familia yenu haina shabiki wa wa Chura Fc wewe umerithi kwa nani?
fresh kaka, mambo vp?Niaje kiongozi?
Ni gud bro, karibufresh kaka, mambo vp?
Mi nahudhuriaga sana tu mazishi....siku hizi vikaburi vifupi utafikiri wanapandikiza migombaZamani walikuwa wanachimba kimo cha kaburi mita tatu kwenda chini, siku izi ni mbili. Kwa maeneo yenye population kubwa ni mita moja.... Hii inamaana kuna maghorofa.....
Baada ya miaka 5..marehemu watakuwa wananing'inia, hakuna nafasi tena...
Poa wajuzi wa mambo watakusaidiaOya wadau nisaidieni linki inayofanya kazi ya kuangalizia majina ya jkt.....kuacha ile ya http://jkt.go.tz
Hahahaha tunapoelekea watakua wanachoma tu afu majivu ndo yanaenda kuzikwa baharini au mtoniZamani walikuwa wanachimba kimo cha kaburi mita tatu kwenda chini, siku izi ni mbili. Kwa maeneo yenye population kubwa ni mita moja.... Hii inamaana kuna maghorofa.....
Baada ya miaka 5..marehemu watakuwa wananing'inia, hakuna nafasi tena...
asante, hatujaonana hapa muda kidogoNi gud bro, karibu
Mi nahudhuriaga sana tu mazishi....siku hizi vikaburi vifupi utafikiri wanapandikiza migomba
![]()
![]()
![]()
........

Ni kweli kaka.. Majukumu tu hakuna lingine life inazidi kubana kadri siku zinavyosonga mbeleasante, hatujaonana hapa muda kidogo
Kama Mimi vileee![]()
![]()
![]()
![]()
Yours is far greaterIntelligence
Yuko vizuri sana huyu bidadaJimena
Wewe nakukubali the most
Popote unapokuwa unakuwa furesh
Ki ukweli uwa napenda mambo yakeYuko vizuri sana huyu bidada
Ilitakiwa tuwe tunachomwa tuu, majivu anaye taka kuweka popte aka weke![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
bora kuzikiwa baharini au?
Mkuu hiyo amazing huku ni jina la mtu, au ndo unamfanisha nae?Ki ukweli uwa napenda mambo yake
She z amazing