Yanga wana mterooo
Ukikosa nini tenaOk , mimi nikikosa tunafungwa
KwendaUkikosa nini tena
Wanasema simba ina roho mbaya
Afee beki afee ab ....🤣🤣🤣Kwamba lazima uende tu hakuna namna
He he
Wewe ni mimi AuntieAuntie kwanza me nahisi nina presha ujue uwanjani sijawahi kwenda kuangalia simba yaani.itokee tumefungwa nitazimia sijui maana nikiwa nyumbani tu tukifungwa nazima tv naingia kulala
Wewe ni mimi Auntie
Nikiangalizia mpira nyumbani preshs inakuwa kubwa kuliko.. Uwanjani sijui ndiyo itakuwaje..Maana kufungwa mimi sitaki kabisa.. Naumia
Nikikumbuka World Cup ya 2018 mama yangu alikuwepo...siku Timu zangu zinacheza Alikuwa ananiangalia hanimalizi.. Ile siku ya final nakumbuka ilikuwa J2..hapo natamani Croasia washinde, natamani France washinde..Sitaki kukumbuka ile siku