Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ndoto za mchanaLeo umenikosha kwa kukubali Barca wazuri. Real wabovu.karibu mkuu wala usipate shida.
Hao wengine wabovu lakini man u wabovu zaidi.
Ndoto za mchanaLeo umenikosha kwa kukubali Barca wazuri. Real wabovu.karibu mkuu wala usipate shida.
Hao wengine wabovu lakini man u wabovu zaidi.
Hahahaha.
Kile kilikuwa kipindi cha mpito brother,now mambo yametunyookea wanafki wote tumewaacha midomo wazi.
Kesho zitatimiaNdoto za mchana
Kweli aisee...... Sukari hii, itatumbua wengiTeh teh
Mattzo ya sukar haya, asubuhi ikabid apige bia tuu na maandaz aende bungen si kosa lake
Kwani mie siipendi Chelsea???
Teh teh
Karatas mbili alisoma kama dakka 20 hvi, may b ana stress
Ila may be ukosefu wa sukar ikabid apate beer brekfast
alafu anasema huyu ni *rafiki yangu.*Mtu kaachwa mchana kweupeee ila anadai eti bado wako pamoja![]()
![]()
ndiyo maana zina milango na madirisha

MaybeHahahaha.
Kile kilikuwa kipindi cha mpito brother,now mambo yametunyookea wanafki wote tumewaacha midomo wazi.
Lol si unaona wanavyopukutika na stress. Ngoja nione may b tutarithi chochoteHuyu kijana anaonekana ni mtoto wa Kitwanga kama vipi wewe endelea kumpetpet kinafki sisi tupige pesa.
Umekunywa chai lkn Jimena!!?Kweli aisee...... Sukari hii, itatumbua wengi
Siri gan hyo, ya peterchoka au?Umetoa siri.. Ayaaaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Sijamaanisha hivyo hahahaKwani mie siipendi Chelsea???
Analea nini tenaAnalea wifi, pia namsaidia
.Hahaha![]()
![]()
alafu anasema huyu ni *rafiki yangu.*
Sikuhizi naiona tu kwenye taarifa ya habari za biashara. Imeadimika sanaTutaitafuta mpaka ipatikane. Haina kukata tamaa

Huyu kijana anaonekana ni mtoto wa Kitwanga kama vipi wewe endelea kumpetpet kinafki sisi tupige pesa.
Sio mchaga ila nimeishi uchagani