Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Wivu upo ila sio kuwaonea wivu vyura wa matopeniwivu ni kidonda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wivu upo ila sio kuwaonea wivu vyura wa matopeniwivu ni kidonda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sana tu.[emoji23] [emoji23].Wacha weee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ama kweli nyumba zinaficha mengi
Mzima kabisa. Za jumamosi shemeji?Lizzy mzima?
Umetoa siri.. Ayaaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ngoja tusubiri tuone mwisho, Linamo pia huwa ni bae wa mtu
Alizaliwa kiangazi huyoooMnakwepana hatariii
Andika na asiyeipenda Chelsea[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mbona linamo kakidhi vigezo
Teh tehJamaa ameniacha hoi sana.
Yani ukitazama ile video utacheka.
Barca ina uzuri gani[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahaha
Apo kizuri si barca tuu
Kwngne naona bado uko kwa shda tuu
Aisee.Ushakosa mke sasa
Nzuri kabisa shem..vipi analea nini?Mzima kabisa. Za jumamosi shemeji?
Utadhani kuna malipo[emoji134] [emoji134] [emoji134]Vile vigezo hapana
Mbona unakuwa hivyo lakini[emoji57] [emoji57] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Andika na asiyeipenda Chelsea
Napita tu, sijui kuna njia???Hata Liverpool walianza kwa mbwembwe dhidi ya Sevilla
Hvyo mie sio wa kwanza
Analea wifi, pia namsaidiaNzuri kabisa shem..vipi analea nini?
Tutaitafuta mpaka ipatikane. Haina kukata tamaaHuku pesa tu ndo tatizo...
Huyu kijana anaonekana ni mtoto wa Kitwanga kama vipi wewe endelea kumpetpet kinafki sisi tupige pesa.Taratibu tu utalijua
AaahMnakwepana hatariii
Lugumi ni tatizo. Halafu asilimia kubwa wanaotumbuliwa na magu wanaR.I.P ...magu inabidi awapunguzie dozi stress zinawapotezaTeh teh
Karatas mbili alisoma kama dakka 20 hvi, may b ana stress
Ila may be ukosefu wa sukar ikabid apate beer brekfast