Makapuku Forum

Ukiniita nikifika nacheeeka, yaani huo ndio msaada nitakaokupa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usijali ndugu yangu nikifika si unanijua, nanunua kesi kwanza then baadae ndio nitakuuliza kwani ugomvi unahusu nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba baada ya kesi ndiyo unauliza?
Nimecheka[emoji2]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila iphone yangu anataka aninunulie kutoka kikuu!! Mwambie anachokitafuta atakipata.
 
Sasa mbona mimi huwa hunihadithii? Usijali sitoscreen shot[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana auntie hata ukiscreenshot sijali wala nini kuna mtu aliniambi shunie picha zako zinasambaa nikamjibu ndio vizuri cha nitrend tu kwa watu alichoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…