Weeeh!! Nimejua sasa wanaowajaza ujinga, ndio maana hamkui[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Niache auntie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzee kwako mtoto kwa babe wangu mwenzio ananibeba na uzee huu
Eenh mimi auntie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo Kipenzi[emoji2]
Mbona viboko..Nani huyo? Ni Shunie?
Si kama chako tu[emoji2]Kichwa kama mbegu ya ubuyu.
Auntie mbona unanitisha sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua wewe Akili huna...
Umenikumbusha jana kwenye ule Uzi namna nilikuwa nacheka....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi kuna mda tunalogwa sio akili zetuNdio Shunie, nimeona nianze tu kuwatandika viboko maana mnajua kuniweza[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
AlilililiiiiiiiiiiNiache auntie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzee kwako mtoto kwa babe wangu mwenzio ananibeba na uzee huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwenye uzi sisi tunahusika vipi jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lipa madeni yangu tumalizane. Lasivyo nakufungulia uzi, nitaunganisha na Shunie humo humo.
Hatujambo maka akee za weweNdugu zangu wa daaamu kabisa, hamjambo humu?!?
Ni wivu tu[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niache kujiita mtoto kisa uzee hapana kwakweliAlilililiiiiiiiiii
Na mbengo zeta fongoka[emoji28]
Kwahiyo nani hayupo karibu labda?[emoji57][emoji57]Dec 27 auntie hivi auntie makiii utakujapo kwa besidei eenh we si tupo karibu
We shindwa!! Unanijulia wapi mimi[emoji15][emoji15][emoji15]Pyuuuuuuuu....
Nasemaje, Mimi nakutambua vyema sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie kwani tupo karibu na wewe me najua ulipo mpaka tupande bus kuzaliwa mwisho wa mwaka auntie ni baraka sanaKwahiyo nani hayupo karibu labda?[emoji57][emoji57]
Halafu unazaliwaje mwisho wa mwaka na wewe[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Nakosaje amani sasa na mnanipa stress tu kila siku[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi utaishi kwa amani kweliii
Hapa hakuna kulipwa, bora tu nifute undugu kwa amani[emoji2297][emoji2297][emoji2297]He he he....
Hilo deni litapata Msamaria mwema hapa hapa...
Tulia[emoji23]
Nakosaje sasa Auntie Akeee..Dec 27 auntie hivi auntie makiii utakujapo kwa besidei eenh we si tupo karibu