Makapuku Forum

Sasa mambo ya kuzikana yanatoka wapi mapema yote hii jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297] shindwaaa!!

Kauli hiyo sitengui "simtambui mtu huyu" [emoji1787][emoji1787]
 
Ubinadamu kazi sana, zawadi unapewa halafu unalalamika mweeh!! Usijali, ya mwaka huu nitai-upgrade[emoji6]

Nakudai milioni moja na eflu ishirini mia mbili.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ajaribu aone..
Ananijua vyema Auntie[emoji23]
Na vichambo vyake hivyo angejua hajui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki nimechekaa, sasa wewe unaweza kuchamba hata sisimizi tu kweli?
 
Auntie unavyomtetea kipenzi chako
Kipenzi chake sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnajua kuniwezaaa!! Hawa viumbe mnawatoaga wapi nyie watoto!!

Kama wewe ukirudia tena ujinga wako nitakutandika viboko hutaamini majicho yako.
 
Ubinadamu kazi sana, zawadi unapewa halafu unalalamika mweeh!! Usijali, ya mwaka huu nitai-upgrade[emoji6]

Nakudai milioni moja na eflu ishirini mia mbili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Milioni ngapi?
Nyieeee!!!! Oneni mambo yanayonitesa kwa huyu ndugu yangu[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…