Hata ukinikana wewe bado ni ndugu yangu tu...tunaweza tusiongee miaka/ miezi ila siku ukifunga kauli/ nikifunga kauli, utanizika/ nitakuzika bila kupenda
Huwezi kuukana Undugu...Urafiki sawa....
Sasa huyo uliyemwambia kwamba hunijui nenda katengue kauli yako