ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Huyu kijana anatamani Nahrene anipge chini.Hakumtosa alisafiri tu. Sahivi amesharudi
Huyu kijana anatamani Nahrene anipge chini.Hakumtosa alisafiri tu. Sahivi amesharudi
Ni shiiidaTatizo sio kujua shera bali uhuni mwingi
.....
Hayo tuuNa ujinga juu
Acha uoga kijana unaogopa kuwa kama Kitwanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah aisee... Ngoja mi nikomae hukuhuku kwenye kujiajiri hayo mambo ya kutumbuliwa hadharani nahisi sitaweza
Alisafiri akashindwa hata kumuaga hata mshkaji?Hakumtosa alisafiri tu. Sahivi amesharudi
Ana wivu Sana.Huyu kijana anatamani Nahrene anipge chini.
Nilijua wewe ni Me[emoji1] kumbe ni[emoji108]Kwani team mate ulikuwa unajua mie jinsia gani?
Naona unatafuta bifu..nani kakuambia Kama hakumuaga.Alisafiri akashindwa hata kumuaga hata mshkaji?
njema mkuuHabari ya jumamosi wakuu.
Jionee tofauti:Ni shiiida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha uoga kijana unaogopa kuwa kama Kitwanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dear gambe*
hahahah ndo mpira boss lets waitBasi tusubirie 90 dakika[emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimeipenda hyoJionee tofauti:
Angani hakuna hakuna purukushani lkn rubani anaendesha ndege kistaaeabu
Ardhini fujo nyingi lkn madereva wana mbwembwe km mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Labda mtainua kwapa kushika vichwaSisi wa manchester utd leo tunainua kwapa wakuu mpo humu
Tupo ggmuSisi wa manchester utd leo tunainua kwapa wakuu mpo humu
Hahahaha kijana alikua anahangaika kuuliza humu kutwa kuchaNaona unatafuta bifu..nani kakuambia Kama hakumuaga.
Aisee.Nilijua wewe ni Me[emoji1] kumbe ni[emoji108]
Kuna siku nilimgonga bodaboda mnya viroba ilibaki kiduchu tu Niue....yaani anakatiza mbele ya gari km mbuzi bhana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimeipenda hyo