Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
MmmmmmhTusingepewa kama hilo Lazma Voda wangetupa kombe maridhawa sababu wote wekundu

MmmmmmhTusingepewa kama hilo Lazma Voda wangetupa kombe maridhawa sababu wote wekundu

Poa dada, karibu tenaMimi mzima kabisaaa
Duuuh kwa hyo hadi Linamo niPoa dada, karibu tena
Kumbe humu jinsia ya Jimena wapo wengiHata Jambilo ni KEDuuuh kwa hyo hadi Linamo ni![]()
Kumbe humu jinsia ya Jimena wapo wengi
OkPoa dada, karibu tena
Kwani we ulikua unajuaje mkuu?Duuuh kwa hyo hadi Linamo ni![]()
Kumbe humu jinsia ya Jimena wapo wengi
Kwani team mate ulikuwa unajua mie jinsia gani?Duuuh kwa hyo hadi Linamo ni![]()
Kumbe humu jinsia ya Jimena wapo wengi
Mwache ampetpet nahrellAisee! Kijana youngblood hebu toka huko mafichoni ulipo
Mambo yamekuwa magumu brother ukizubaa wanakutumbua.Aisee! Kijana youngblood hebu toka huko mafichoni ulipo
Hahahaa, ukweli mbaya!Unaongea nini wewe![]()
![]()
Huko si alishatoswa? Naona tangu katoswa amekua mzito kweli kupost humuMwache ampetpet nahrell
Hakumtosa alisafiri tu. Sahivi amesharudiHuko si alishatoswa? Naona tangu katoswa amekua mzito kweli kupost humu
Fresh kamanda, unamisika sanaHabari ya jumamosi wakuu.
Nzuri kabisaHabari ya jumamosi wakuu.
Tuko pamoja mkuu.Fresh kamanda, unamisika sana
Mwee, akikubali maisha yangu yatabadilika na kuwa SOO amaizing ...!unataka umchukue amaizing????
Binadamu wabaya sana.Huko si alishatoswa? Naona tangu katoswa amekua mzito kweli kupost humu
Dah aisee... Ngoja mi nikomae hukuhuku kwenye kujiajiri hayo mambo ya kutumbuliwa hadharani nahisi sitawezaMambo yamekuwa magumu brother ukizubaa wanakutumbua.