Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Salama Briz, habari ya wewe?Mmeamkaje wadau?
Salama Briz, habari ya wewe?Mmeamkaje wadau?
wa afya mkuuWazima wote?
Tusingepewa kama hilo Lazma Voda wangetupa kombe maridhawa sababu wote wekunduMbona mlishiriki kuligombea???
Tatizo sio kujua shera bali uhuni mwingiItachukua mda kidogo wabongo kuzoea haya mabadiliko kwenye hii barabara ya mwendokasi
Na ujinga juuUshamba tu
Sie wazima, hujambo?Wazima wote?
Fresh kabisa, kwema huko?Salama Briz, habari ya wewe?
Naona ndala fc wanajifariji hapowa afya mkuu
Mimi mzima kabisaaaSie wazima, hujambo?
Wazima dear wewe je??Wazima wote?
hawana jipya hao wanajitahid kufikia rekod zetu ila hawatowezaNaona ndala fc wanajifariji hapo
Mimi mzima kabisa cuzooWazima dear wewe je??
Kazi ipoTatizo sio kujua shera bali uhuni mwingi
.....
Mwisho wao unakuja wala haupo mbali kufikia rekodi zetu labda wamgeuze msukule yule msema ovyo wao.hawana jipya hao wanajitahid kufikia rekod zetu ila hawatoweza