Makapuku Forum

| BIGIRIMANA ABEDI
YANGA

.
Taarifa za ndani kabisa bosi wa GSM, Hersi Said yupo Rwanda
kwa mchakato wa kukamilisha mazungumzo na mabosi wa Kiyovu ili kunasa sajili mbili, kiungo mchezeshaji Bigirimana Abedi na kiungo mkabaji Pitchou Ismail.
.
Awali Yanga ilikuwa na mpango wa kusajili beki wa kati ikiwa na machaguo mawili, Mubarrik Yussif raia wa Ghana na Joash Onyango. Lakini habari za ndani juzi usiku walikubaliana kwa kauli moja kupiga chini usajili wa Onyango na hawatachukua mchezaji yeyote kutoka Simba.
 
Cristiano Jr akiwa uwanjani kwenye michuano maalum ya vijana huko nchini Hispania kwenye jimbo la Katalunya, anacheza kwenye kikosi cha Manchester United U12

Anafunga sana na style yake ya kushangilia ni kama Baba yake, The siuuuuuu celebration
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…