...sio utani mpenzi, mwenzako mmoja niliongea na BOT wakamuweka kwenye sarafu ya mia tano, akakasirika kwa kuwa hawekwi kwenye wallet, akaniomba tuachane. Tangu kipindi hicho niko kama mpigadebe wa kwenye meli