....hili neno limenifanya nijisikie faraja sana, maana hapa nilikuwa najipanga kuwachangisha ndugu zangu Lee , Nigendako shululu wajichangechange wanipe mahari na mshenga aje anitongozee huyu mrembo
Eti shemeji!! Ila afadhali labda nami nitapata nafasi ya kupumua ukiwa busy na mahaba.
Mwambie hatuhitaji hata mahari, akuchukue fasta fasta.
Mbengo zeta fongoka...
Utajua tu taratibu.......hiki kilugha gani, tuanzie hapa kabla hatujaenda mbali!!
Nitafanya makosa makubwa sana kumbishia shangazi, akisema ndo keshasemaShangazi mtu kashasema, na shangazi si baba ?
Umejiokotea dodo kwenye mpera
Shangazi usimsahau kwenye mafao ya matikitiNitafanya makosa makubwa sana kumbishia shangazi, akisema ndo keshasema
na akiamua jambo lake hakuna wa kumzuia
Assigment is well understood Shem...Chonde chonde usiniangushe kama sio kunidondosha ...
Makiìii naona kazi anaiweza
Shangazi mtu kashasema, na shangazi si baba ?
Umejiokotea dodo kwenye mpera
Yaaan full barakaaaa
Aaaaaah!!! Shem....
Hiyo haijakaa poa....
Final say ya wapi? Hata ukiolewa final say ni mumeo. Hivyo tulia, suala la mahari hauna say.Uncle usimsikilize huyo....
Final say ni mimi..
Final say ya Mahari...Kwa vipi Dada?Final say ya wapi? Hata ukiolewa final say ni mumeo. Hivyo tulia, suala la mahari hauna say.
Wewe ndiyo unajua ulipolitoa.
Mu sujui, si umenena wewe!!
....ha ahahaha, kitu kizuri unakula na ndugu zako, kibaya sumu unakula mwenyewe ufe. sitaki kufa, ndiyo maana nimechagua kitu kizuriSasa shem wewe unafanyiwa kila kitu jamani
Wasije wakakusaidia na vingine.
We tulia uolewe bwanaFinal say ya Mahari...Kwa vipi Dada?
Siwezi kutulia kwenye hela wewe