Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
MMESIKIA? BRAZIL WANAMTAKA PEP
.
Pep Guardiola ameripotiwa kupokea ofa ya kutimiza ndoto zake za kuhamia kwenye soka la kimataifa baada ya Brazil kuwa tayari kumlipa mshahara wa Pauni 10 milioni (Sh 30 Bilioni) kwa mwaka ili awe kocha wao.
.
Kocha huyo wa Manchester City aliwahi kuweka wazi mipango yake ya kuingia kwenye soka la kimataifa na sasa mabosi wa Selecao wanaripotiwa kwamba wanamweka kwenye mpango wao.
.
Baada ya kocha wa sasa wa Brazil, Tite kuthibitisha kwamba ataachana na timu hiyo baada ya fainali za Kombe la Dunia 2022 huko Qatar, Marca linaripoti kwamba chama cha soka cha Brazil kinamfuatilia Guardiola akarithi mikoba yake.

| NATHAN FASIKA
SIMBA SC 