Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anne niacheeeeUtuletee picha za pochi [emoji3059][emoji3059]
Bila kusahau gram kumi[emoji108]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anne niacheeeeUtuletee picha za pochi [emoji3059][emoji3059]
Bila kusahau gram kumi[emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila auntieeeeNiambie mkwe wangu wa kikuu
Binti yako hajambo kabisa. Anakusalimia. Mungu Atubariki sote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nipo huku Rafiki...Karibu...
Mimi niko poa sana..Na Makamanda hawajambo pia..Tunamshukuru Mungu...
Vipi wewe U hali gani na Binti yangu?Mnaendeleaje?
Makapuku ipogo siku zote haijawahi kufa jamaniWe na Espy Eroni wako hamuonekani kwenye majukwaa mengine kumbe mmejificha huku kwa Shunie? Kuna nini kipya huku au Makapuku imefufuka tena? [emoji16][emoji16][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu.
Naaam auntie wazee kama wazee [emoji847]Huku ni kwa Wazee kama siye SYB[emoji23]
Unaendeleaje huko lakini? Karibu sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata sijui nacheka niniUshindweee!
Huku mafurushi hatutakiwi [emoji16][emoji2099][emoji2099]
Amina Rafiki...Binti yako hajambo kabisa. Anakusalimia. Mungu Atubariki sote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kabisa Auntie...Tunasubiria kulipwa Pension zetu siye[emoji28]Naaam auntie wazee kama wazee [emoji847]
Auntie leo Umemissika jamani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata sijui nacheka nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uzee huuKabisa Auntie...Tunasubiria kulipwa Pension zetu siye[emoji28]
Nimewamiss pia auntie jamani ndio naachiliwa hapa shell kwangu [emoji847]Auntie leo Umemissika jamani...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ushindweee!
Huku mafurushi hatutakiwi [emoji16][emoji2099][emoji2099]