Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,359
Hujui? Mbona lipo wazi[emoji23]Tuone nani ataumia[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui? Mbona lipo wazi[emoji23]Tuone nani ataumia[emoji23][emoji23][emoji23]
Uthiniulize! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi huko?
He he he.. Nimeshajua..[emoji23]Uthiniulize! [emoji23][emoji23][emoji23]
Najua nitaenda wapi, tena nitapokelewa tu!
Nielekeze..nipe muongozo shem![emoji23][emoji23]He he he.. Nimeshajua..[emoji23]
He he he...Nielekeze..nipe muongozo shem![emoji23][emoji23]
Hapo umezingua pabaya, ukinipa muongozo mapema wiki itaenda poa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]He he he...
Nitatuoa baadaye..ila nimeshajua..
[emoji23][emoji23][emoji23] nimekoma auntie bora shetani wako uliyemzoea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usirudie tena.[emoji2]
Uzuri wenyewe tunajiweza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata msipotuachia mtakutana na makuku tuMsitukere hakyanani, wiki hii hata kodi ya mezani hampati..
Mpaka nikuite we mzee kweliiiihahahaha,hongereni ssc.mkutane na ndugu zangu tp mazembe sasa
Naaaam [emoji847][emoji847][emoji847]
Juzi mlivyofungwa hata kusema This is Simba ilikuwa shida, zenu zilikuwa Zis idh Thimba, wapare sio wapare..wasambaa hata hakieleweki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mzee una makasiriko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa auntie upo dar unakosaje jezi me jamani Lee wangu ndio mnunuaji jezi wangu tulivyopeana mapumziko woiii nilitoa elfu 70 kununua jezi mbili ila roho iliniuma sijazoea [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli elfu 70 jamani nikamkumbuka Lee ghafla angekuwepo hizi shida nisingepata
hapana shangazi.nilikua napitia pitia huko juu.sorry shangaziMpaka nikuite we mzee kweliiii
Tulizaaaana...Hapo umezingua pabaya, ukinipa muongozo mapema wiki itaenda poa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii tabia yako ya kupita kwa kunyata wala siipendi, sijui umekuwaje siku hizi. Na siwapongezi ng'o![emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] nimekoma auntie bora shetani wako uliyemzoea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eenh Auntie shida niliyoipata acha tu
Litakupata jambo..tulia[emoji2]Juzi mlivyofungwa hata kusema This is Simba ilikuwa shida, zenu zilikuwa Zis idh Thimba, wapare sio wapare..wasambaa hata hakieleweki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]