Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,291
- 3,989
Acha uwoga best...[emoji23][emoji23][emoji23] si uende kwenye thread ya kubet watu wanawekaga mikeka yao
Ninavyokuona wewe sio mtu mzuri unapoelekea unaweza hata nifundisha kubet
Acha uwoga best...[emoji23][emoji23][emoji23] si uende kwenye thread ya kubet watu wanawekaga mikeka yao
Ninavyokuona wewe sio mtu mzuri unapoelekea unaweza hata nifundisha kubet
Pamoja sana. Ushindi mnono huu, hapa nilipo nawaza niingie kwa mwendo gani ofisini kwa bosiNakuja Uncle..
Pongezi kwa Ushindi..
Sawa Uncle..Naenda kunywa breakfast hapo Holiday Inn.Kumbe nawe unampenda mnyama [emoji881] Simba.
Kula tano kwanza na ukiweza jisevia breakfast ya nguvu unayoweza kugharamia
...kajaa sana tu afu anazidi kuvutia, anakulaumu tu kwa kumkasirikia alipokufumania na yule teller.Hahahahaah umenikumbusha nusra ...yupo kweliii ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja sana. Ushindi mnono huu, hapa nilipo nawaza niingie kwa mwendo gani ofisini kwa bosi
Heh.Sawa Uncle..Naenda kunywa breakfast hapo Holiday Inn.
Fanya kunitumia huo muamala chap nisije kuosha viombo huku[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie auntie uliangalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Ushindi wa jana kupewa yote halali yako Shem.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heh.
Kama unaenda hapo chukua na wenzako, leo breakfast ni bure.
Walitutangazia jana.
Hahahahaha halafu ndio maana nimekuta missed calls nyingi naona watu walitaka kunipa taarifaPole Auntie..
Mimi jana ilinibidi kuangalia tu kwa kweli.. Pressure ilikuwa kubwa sana..
Sawa hebu Upload hapa Chap.. tusome vichwa vya habari siye.[emoji2]
Kabisa Auntie..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie auntie uliangalia
Leo auntie hataingia makapuku[emoji1787][emoji1787]Jamani!! Kama mlivyosikia, kama mlivyoona.
Na wala haturingi[emoji23]
Cc Espy Eroni nakusalimu Love..
Hiyo Bodaboda yako Ina kibali cha kuingia mjini Uncle?
Usije kukamatwa ukaanza kutusumbua huku[emoji2]
Bwana me hata mikeka yenyewe sijui nenda kwa wazee wa kubet hukoAcha uwoga best...
Auntie umemsoma vizuri kweli kasema ujigharamieSawa Uncle..Naenda kunywa breakfast hapo Holiday Inn.
Fanya kunitumia huo muamala chap nisije kuosha viombo huku[emoji2]