Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mwanamuziki wa siku nyingi John Kitime ambaye ni mmoja wa Wahusika kwenye Tuzo za Muziki Tanzania mwaka 2022 amesema mashairi ya Wasanii ambayo yatakuwa na ukakasi ni moja ya vigezo ambavyo vinaweza kuwanyima nafasi kwani yatawapotezea nafasi hiyo adimu ya kushiriki na kung'ara kwenye tuzo hizi za kitaifa.
Screenshot_20220403-034442_Instagram.jpg
 
Msanii Bora wa kike Taarab 2021 - Khadija Yusuf.

Msanii bora wa kiume Taarab 2021 - Mzee Yusuf.

Wimbo bora wa Taarab 2021 - 'Usinifokee' Jahazi Modern Taarab.
Screenshot_20220403-034711_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mwanamuziki bora wa Reggae/dancehall 2021 - Badest 47

Wimbo bora wa Reggae/Dancehall - 'unaota' wa Badest 47
Screenshot_20220403-034852_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa kike wa mwaka 2021 ameshinda @saraphina__tz …… Tuzo hii ilikua ikiwaniwa pia na Nandy, Maua Sama na Shilole.
Screenshot_20220403-035012_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mshindi wa Tuzo ya Mtumbuizaji bora wa kiume 2021 kwenye Tuzo za Muziki Tanzania ni @harmonize_tz, Tuzo hii ilikua ikiwaniwa pia na Alikiba, Sholo Mwamba, Dulla Makabila na Whozu.
Screenshot_20220403-035124_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Msanii bora wa kiume wa singeli wa mwaka 2021 - Sholo Mwamba

Wimbo bora wa mwaka wa singeli - 'alowee' Sholo Mwamba.

Wimbo bora wa asili wa mwaka 2021 'asili yetu' ya
Screenshot_20220403-035247_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mshindi wa Tuzo ya wimbo bora wa kushirikiana 2021 ni ‘loyalty’ ya @darassacmg255 ft. @marioo_tz na @officialnandy

Tuzo hii ilikua ikiwaniwa na ‘ndombolo’ ya Alikiba, Abdukiba, K2ga na Tommy Flavour, shikilia ya Profesa J, unaua vibe ya Rapcha na lala ya Jux.
Screenshot_20220403-035347_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mtunzi bora wa melody wa mwaka 2021 - Alikiba @officialalikiba

Album bora ya mwaka - Only One King ya Alikiba.
Screenshot_20220403-035455_Instagram.jpg
 
Mtunzi bora wa mashairi wa mwaka ameshinda Profesa J kupitia 'utaniambia nini", Tuzo hii ilikua ikiwaniwa na 'utu' ya Alikiba, 'mi amor' ya Marioo, Lisa ya Rapcha na Loyalty ya Darassa.
Screenshot_20220403-035601_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mwimbaji Nandy @officialnandy ameshinda Tuzo ya chaguo la Watu kwenye Majukwaa ya kidigitali mtandaoni kama Mwimbaji bora wa kike.
Screenshot_20220403-035706_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mwanamuziki Bora wa kiume chaguo la Watu kwenye Majukwaa ya kidigitali ni Alikiba

Mwanamuziki Bora Afrika Mashariki wa mwaka - ni Alikiba

Album bora ya mwaka ‘only one king’ ya Alikiba na Tuzo ya Mtunzi bora wa melody ambapo Tuzo hizi zimepokelewa na Wawakilishi wake.
Screenshot_20220403-035805_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
TMA2022 Mr. T Touch @mrttouchez ameshinda Tuzo ya Producer bora wa Bongofleva kwa mwaka 2021 usiku huu kwenye Tuzo za Muziki Tanzania.
Screenshot_20220403-040011_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mwimbaji wa Bongofleva @saraphina__tz ameshinda Tuzo ya pili usiku huu kwenye Tuzo za Muziki Tanzania 2022 ambapo Tuzo yake nyingine aliyoshinda ni Mtumbuizaji bora wa kike. TMA2022
Screenshot_20220403-040432_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mkali wa Bongo Records Rapcha @rapcha_tz ameshinda Tuzo ya Msanii bora Chipukizi wa kiume kwa mwaka 2021.
Screenshot_20220403-040539_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Young Lunya @younglunya ashinda Tuzo mbili kwenye usiku wa Tuzo za Muziki Tanzania ambapo ameshinda Msanii bora wa Hiphop na wimbo bora wa hiphop ‘mbuzi’
Screenshot_20220403-040907_Instagram.jpg
 
Mabwana na Mabibi, Wimbo bora wa mwaka wa Bongofleva unatoka kwa Msanii bora wa kiume wa Bongofleva Bwana Omari @marioo_tz Mabwana na Mabibi, Wimbo bora wa mwaka wa Bongofleva unatoka kwa Msanii bora wa kiume wa Bongofleva Bwana Omari
Screenshot_20220403-041141_Instagram.jpg
 
Mkali Nandera @officialnandy ameshinda Tuzo yake ya tatu usiku huu ambayo ni Msanii Bora wa kike wa mwaka 2021.
Screenshot_20220403-041502_Instagram.jpg
 
Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka 2021 ametajwa kuwa @harmonize_tz ikiwa ni Tuzo yake ya tatu NDANI ya Tuzo hizi za muziki Tanzania 2022.
Screenshot_20220403-041552_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom