Makapuku Forum

Makapuku Forum

KMC YAREJESHWA NYUMBANI UHURU
.
Mabosi wa KMC kupitia msemaji wa klabu hiyo, Christina Mwagala wamesema wamepokea barua ya kurejeshwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Uhuru.
.
KMC ilikuwa inatumia Uhuru kabla ya kuhamishiwa Azam Complex ili kupisha matengenezo madogo, lakini sasa wamerejeshwa tena uwanja huo maarufu kama ‘Shamba la Bibi’.
Screenshot_20220403-141349_Instagram.jpg
 
SIMBA CHUNGENI HAWA WATATU
.
Adebayor:: [emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️
Seidou:: [emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️
Gbeuli:: [emoji460]️[emoji2402]
.
Nyota wa kuchungwa zaidi ni winga Victorien Adebayor mwenye rekodi ya kufunga mabao sita katika mechi tano zilizopita. Mwingine ni Hassan Seidou mwenye mabao matatu kwenye michuano ya CAF na Wilfried Gbeuli aliyeifunga Simba bao nchini Niger.
.

…….
Screenshot_20220403-141453_Instagram.jpg
 
"Luis Suarez aliniambia nifunge magoli mawili kwa sababu ameniweka katika timu yake ya fantasy".
Screenshot_20220403-142405_Instagram.jpg
 
Bangala: Brother kitaa kimetulia sana, wakina Mama, Baba, Wazee kwa vijana wamemiss kutetema

Mayele: Hakuna shida Kaka, kwenye Mzizima derby tutaimba na kucheza
Screenshot_20220403-142510_Instagram.jpg
 
Kwenye tuzo za jana usiku, nimezitazama kwa umakini mkubwa sana ni kama ulikuwa usiku wa Ali Salehe Kiba akiokota hii na ile

Kwanza kabisa naamini ana fan base kubwa sana kuliko aliokuwa anashindana nao hivyo mtaji wa kura anao tena mkubwa tu

Pili mziki wa Kiba ni mkubwa sana, sidhani kama kuna tuzo ambayo hakustahili bali kuna zingine pia niliona alipaswa kuzikwapua

Ni bahati kuwa na Msanii kama Kiba, great talent na mziki wake unaishi sana, sidhani kama unachoka kuanzia hata Mac Muga mpaka SaluteView attachment 2173707
Hilo ni kweli kabisa
 
Mpatanishi Mkuu wa Ukraine amesema mazungumzo ya kumaliza vita yanayoendelea kati ya Ukraine na Urusi yameonesha matumanini kwamba Rais Volodymyr Zelensky anaweza kuzungumza na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin.

Davyd Arakhamia amesema hatua kubwa zimepigwa katika mazungumzo kati ya Wajumbe kwa njia ya video akisema Urusi imekubali mapendekezo ya Ukraine kuhusu masuala yote isipokuwa suala la Crimea, eneo ambalo Urusi ilinyakua kutoka Ukraine mwaka 2014.

Nyaraka za rasimu katika hatua hiyo zimesema Marais hao wawili wangeweza kufanya mashauriano moja kwa moja lakini kazi ilikuwa ikiendelea katika masuala kadhaa mbali na waraka wenyewe, Urusi haijatoa tamko lolote kuhusiana na suala hili, Mpatanishi Mkuu wa Urusi, Vladimir Medinsky, amesema misimamo ya Urusi kuhusu Crimea na Donbas haijabadilika.

Urusi inasisitiza kwamba Ukraine itambue Crimea kama sehemu ya Urusi, na kutambua uhuru wa Donbas, ambapo Waasi wanaoungwa mkono na Urusi wanadhibiti sehemu kubwa ya eneo.
Screenshot_20220403-154129_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom