Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mwachie Mungu tu auntieAuntie au nimuachie Mungu?
Mwachie Mungu tu auntieAuntie au nimuachie Mungu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti auntie ili tuue gari ya watuOooh! Ukiona kigari cha yule mbwa mtilie maji na mchanga akahangaike nalo huko.
Ngoja nijitahidi basi auntieAaah bila wizi nimegundua hii nchi hutoboi, auntue iba kwa akili usikamatwe. Ukikamatwa tunakuja kumchamba bosi.
Auntie yangu anajazwa hapaBosi lede jamani, mbona mambo madogo kabisa hayo kwako mamangu kipenzi. My only one beloved sister anaenifanya nivimbe mjini[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nalalaje sasahivi, hii store nikilala mapema panya hawatoniacha salama. Acha nipoteze poteze muda kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mbona mnanifurahisha hivi[emoji139][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kazi yake kuokota risiiti
Ndo yuko busy kuokota kutoa receipt
Hahaha ahame stoo ahamie chumba cha umeme
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa nifanyejeUmejichokeaaa[emoji2][emoji1][emoji1][emoji28]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sawa Auntie...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie nipo busy kwenye kazi ya watu si unajua nachezea mahela umakini unahitajika
Acha tu..Auntie yangu anajazwa hapa
Nzuri, kitambo..Salama kabisa mpendwa. Za wewe?
Asante cheupe mangalaYupo hai busy tu na maisha T
I'm grateful kwa kweli ..yeah kitambo sana. Naamini uko salama piaNzuri, kitambo..
How have you been?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umakini ndio unaohitajika auntie huku mahela yapo uhindini tutaendaSawa Auntie...
Kuwa makini huko..Tupate za kwendea kule Uhindini..
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu..
Anataka kunipiga na kitu chenye ncha kali..