Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,321
Kukomoana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila auntie zawadi zako
Kukomoana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila auntie zawadi zako
Auntie au nimuachie Mungu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh! Ukiona kigari cha yule mbwa mtilie maji na mchanga akahangaike nalo huko.Shift ya usiku auntie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah bila wizi nimegundua hii nchi hutoboi, auntue iba kwa akili usikamatwe. Ukikamatwa tunakuja kumchamba bosi.Auntie niibe kweli nirudi kuwa jobless hapana auntie nimeshapata kazi acha mwanao nifanye kazi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba jina ubadili uandike Saint Anna tafadhali.Cha kushangaza unakuta lidume na ndevu zake limekalisha pumbu lipo kubwabwaja maneno kuhusu mwanamke[emoji2296]
Una mpango wa kufa? Ili nisikudai eeh? Thubutu yako, unilipe kwanza.IST tena Mama mtu?
Si utatuuwa huu mwaka mdogo wangu?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu we muache, ana deni kubwa mnooo. Hadi kaIST ndio nitamsamehe. Lee aifoni, ole wake iwe ya kikuu ndio atajua hajui. Namfungulia uzi.
Bosi lede jamani, mbona mambo madogo kabisa hayo kwako mamangu kipenzi. My only one beloved sister anaenifanya nivimbe mjini[emoji6]Kukomoana[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah!!!!Oooh! Ukiona kigari cha yule mbwa mtilie maji na mchanga akahangaike nalo huko.
Wote mkijichanganya nawafungulia uzi, nitaeleza yooote na ebola zenu sitoacha hata chembe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi wa Lee au Maki?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Una mpango wa kufa? Ili nisikudai eeh? Thubutu yako, unilipe kwanza.
Karibu wine my lovely sister, kipenzi cha moyo wangu. Hivi unajua vile nakupenda lakini[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bosi lede jamani, mbona mambo madogo kabisa hayo kwako mamangu kipenzi. My only one beloved sister anaenifanya nivimbe mjini[emoji6]
Nalalaje sasahivi, hii store nikilala mapema panya hawatoniacha salama. Acha nipoteze poteze muda kwanza.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hebu lala huko..
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wote mkijichanganya nawafungulia uzi, nitaeleza yooote na ebola zenu sitoacha hata chembe.
Mie na kusoma wapi na wapi jamani. Shule zina wenyewe dada. Akina joh kisomo Heaven Sent na Lovelucky ndio mambo yao hayo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeeeh!!!.Ulisomaga "Eat more food?"[emoji23]
He he he..Nimeacha hayo makitu[emoji28]Karibu wine my lovely sister, kipenzi cha moyo wangu. Hivi unajua vile nakupenda lakini[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Ha ha ha...Magodown[emoji23]Nalalaje sasahivi, hii store nikilala mapema panya hawatoniacha salama. Acha nipoteze poteze muda kwanza.
Ndio mtajua hamjui hiyo siku nawaambia, sitaki utani kwenye mambo serious. Kwahiyo kaeni na mimi vizuri kabla sijachafua hali ya hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Punguza Uchizi basi...Ebola gani tena?
Umenikumbusha jana[emoji28]
@LoveluckyMie na kusoma wapi na wapi jamani. Shule zina wenyewe dada. Akina joh kisomo Heaven Sent na Lovelucky ndio mambo yao hayo.