Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,791
- 182,965
Ukiacha nami naacha kula dada yangu.He he he..Nimeacha hayo makitu[emoji28]
Sidanganyiki Ooooh!!!
My sweet dada, love love loveee[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Ukiacha nami naacha kula dada yangu.He he he..Nimeacha hayo makitu[emoji28]
Sidanganyiki Ooooh!!!
He he he...Kuchafua hali ya hewa huko Vepee? Chafua tu bhana[emoji23]Ndio mtajua hamjui hiyo siku nawaambia, sitaki utani kwenye mambo serious. Kwahiyo kaeni na mimi vizuri kabla sijachafua hali ya hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmemfanyaje binti yangu? Simuoni kabisa siku hizi?@Lovelucky
Miss you Douta...Nimemiss zile ligi zako[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiacha nami naacha kula dada yangu.
My sweet dada, love love loveee[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
We jitoe ufahamu, ukianza kuruka kimasai mie sikudaki. Hivyo bora tu unipe kaist kangu.He he he...Kuchafua hali ya hewa huko Vepee? Chafua tu bhana[emoji23]
Nitakupongeza kipenzi changu, baada ya kuninunulia ist japo hata pa kuipark sina. Najua mafuta nitagongea shell kwa auntie, service itajijua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba na wewe unaacha kula?[emoji2]Wanadamu...wanadamu..si unipongeze hata[emoji28]
Kila jambo na majira yake...Haya ni majira ya yeye kuwa msomaji tu..Mmemfanyaje binti yangu? Simuoni kabisa siku hizi?
Kwanza nahisi limeloa, mvua ilinyesha na ikapita dirishani.Umeshakunjua godoro huko store?[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha zako basi...We jitoe ufahamu, ukianza kuruka kimasai mie sikudaki. Hivyo bora tu unipe kaist kangu.
Labda jina jipya litakuja na mambo mapya, si bora karma, unamfahamu Edelyn wewe? Alikuwa moto wa kuotea mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila jambo na majira yake...Haya ni majira ya yeye kuwa msomaji tu..
Binafsi nimemmisa aisee..yule Karma akiamua lake hakuna anaweza kumshinda[emoji16]
Ha ha ha ha...Nitakupongeza kipenzi changu, baada ya kuninunulia ist japo hata pa kuipark sina. Najua mafuta nitagongea shell kwa auntie, service itajijua.
Ndio utadondoka ptuuuuu, hata sikudaki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha zako basi...
Suala la kuruka huwa halipo planned[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka Yale malailoni[emoji2]Kwanza nahisi limeloa, mvua ilinyesha na ikapita dirishani.
Ndio wapi tena? Au polisi basi, wanilindie. Si wanapaswa kuwalinda raia na mali zao jamani.Ha ha ha ha...
Tutapark CCM...
Abee mama 2Wafalme 2:19Mie na kusoma wapi na wapi jamani. Shule zina wenyewe dada. Akina joh kisomo Heaven Sent na Lovelucky ndio mambo yao hayo.
Namkumbuka.. Watu walichoka pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda jina jipya litakuja na mambo mapya, si bora karma, unamfahamu Edelyn wewe? Alikuwa moto wa kuotea mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanyakyusa hawa bwana [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nikajua hata utasema utaninunulia lingine[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka Yale malailoni[emoji2]
Hadondoki mtu..Ndio utadondoka ptuuuuu, hata sikudaki.