Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,258
- 464,593
Rais Vladmir Putin wa Urusi ameziambia Nchi mbalimbali zinazonunua gesi ya Urusi ikiwemo Ujerumani na Italia kwamba ni lazima zianze kulipia gesi hiyo kwa kutumia pesa ya Urusi (ruble) na kama sio hivyo basi hazitoipata hiyo gesi.
Vladimir Putin ametia saini kwenye amri mpya inayosema Wanunuzi wotelazima wafungue akaunti za ruble kwenye benki za Urusi kuanzia Ijumaa "Hakuna mtu anayetuuzia chochote bure na hatutafanya hisani pia".
Agizo hilo jipya la Putin kutaka kulipwa kwa fedha ya Russia ni jaribio la kuongeza sarafu hiyo ambayo imeathiriwa sana na vikwazo vilivyowekwa na Nchi mbalimbali za Ulaya na America.