Makapuku Forum

Makapuku Forum

Utafiti mpya Nchini Marekani umeonesha kuwa kula tunda aina ya parachichi kunapunguza hatari ya Mtu kupata mshtuko wa moyo, matokeo haya yametangazwa wakati ambao ugonjwa wa moyo na mishipa ndio unaoongoza kwa kuua Watu duniani kwa kusababisha vifo milioni 18 kila mwaka kwa mujibu wa WHO.

Utafiti huu mpya umesema kula parachichi angalau mara mbili kwa wiki kumeonekana kupunguza hatari ya kupata mshtuko wa moyo kwa 21% "utafiti huu ni ushahidi kwamba parachichi zina manufaa ya kiafya" alisema Cheryl Anderson, Mwenyekiti wa Baraza la Jumuiya ya Moyo ya Marekani.

Wakina kalumbu na wenzenu ujumbe wenu huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Saint Anne @Karma Heaven Sent
Screenshot_20220401-102323_Instagram.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Inabidi uje na kule Selfika uweke hizo picha

Wale wenzangu na Mimi waliopo stoo waone pochi za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama utafanikiwa kufika mbinguni; basi utapokelewa na pipa la energy drink
 
Utafiti mpya Nchini Marekani umeonesha kuwa kula tunda aina ya parachichi kunapunguza hatari ya Mtu kupata mshtuko wa moyo, matokeo haya yametangazwa wakati ambao ugonjwa wa moyo na mishipa ndio unaoongoza kwa kuua Watu duniani kwa kusababisha vifo milioni 18 kila mwaka kwa mujibu wa WHO.

Utafiti huu mpya umesema kula parachichi angalau mara mbili kwa wiki kumeonekana kupunguza hatari ya kupata mshtuko wa moyo kwa 21% "utafiti huu ni ushahidi kwamba parachichi zina manufaa ya kiafya" alisema Cheryl Anderson, Mwenyekiti wa Baraza la Jumuiya ya Moyo ya Marekani.

Wakina kalumbu na wenzenu ujumbe wenu huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Saint Anne @Karma Heaven Sent View attachment 2171367

Daah nitaanza kuyala hadi na chai[emoji1787][emoji1787]
 
Hatumtaki selfika huyu sisi tuna magodauni tu kule!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Bina mimi namtaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Zile pochi zinavutia kuendelea kuziona jamani.

Hapa nasubiri nikiwa free nimtag aselfike aonyeshe mfano wa mpangilio wa nyumba aiseee..
Siyo watu tupo kwenye magodauni na kupanga stoo ikae vizuri tunashindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utafiti mpya Nchini Marekani umeonesha kuwa kula tunda aina ya parachichi kunapunguza hatari ya Mtu kupata mshtuko wa moyo, matokeo haya yametangazwa wakati ambao ugonjwa wa moyo na mishipa ndio unaoongoza kwa kuua Watu duniani kwa kusababisha vifo milioni 18 kila mwaka kwa mujibu wa WHO.

Utafiti huu mpya umesema kula parachichi angalau mara mbili kwa wiki kumeonekana kupunguza hatari ya kupata mshtuko wa moyo kwa 21% "utafiti huu ni ushahidi kwamba parachichi zina manufaa ya kiafya" alisema Cheryl Anderson, Mwenyekiti wa Baraza la Jumuiya ya Moyo ya Marekani.

Wakina kalumbu na wenzenu ujumbe wenu huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Saint Anne @Karma Heaven Sent View attachment 2171367
Kumbe nipo kwenye right track [emoji23][emoji23]
Wacha niongeze idadi
 
Bina mimi namtaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Zile pochi zinavutia kuendelea kuziona jamani.

Hapa nasubiri nikiwa free nimtag aselfike aonyeshe mfano wa mpangilio wa nyumba aiseee..
Siyo watu tupo kwenye magodauni na kupanga stoo ikae vizuri tunashindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaaa!!!unanisaliti bina!huyyu anatufokea sana abaki kule!
Atuachie na magodauni,sasa stoo utapangaje ikae vzr

Back
Top Bottom