Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapana labda alikuwa anamtumia shost halafu hajui shost na mtukanaji lao moja
Kijukuu cha mtume. Imagine watu wakuseme WhatsApp na pm na bado ukapata screen shot, bado tena mwingine ascreen shot azirudishe humu humu. Hao wamama na mubaba wao mbabaifu wangejua tu upupu wanaodanganyana ni uongo. Mungu hawezi kuumbua watesi wako hadharani hivi ujue.

Nyie wamama huo muda mnakuja na matusi sijui kuliwa (hakuna ajabu kabisa kwenye kukulana washamba tu ndo wanaonaga big deal) mshauri mubaba wenu aache kujipa umuhimu na kujiongelesha uongo. Na mtumie akili huyo mubaba anatumia mvinu ya divide and rule ila kwa kuwa kikundi chote hamna akili mnatumia infos za uongo mnazopewa kumuattack mwingine
 
Waandamanaji wa Haiti waliokuwa wakiandamana kupinga uhalifu katika mji wa Les Cayes wameiteketeza kwa moto ndege ndogo ya shirika la Wamisionari la Marekani la Agape Flights baada ya kuingia kwenye uwanja wa ndege wa eneo la Les Cayes.

Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry kupitia Twitter alilaani kisa hicho na kusema ni cha uasi na kutaka Wahusika wachunguzwe ambapo haya yanajiri wakati Wahaiti wakiandamana kwenye maandamano waliyoyaita ya amani wakiitaka Serikali kufanya zaidi ili kukomesha ghasia za magenge ikiwa ni pamoja na utekaji nyara wa Watu unaofanyika sana Nchini humo.

"Timu yetu iliyopo uwanjani iko salama, tunafanya maandalizi ya kuwarejesha salama," alisema Msemaji wa Agape Flights, kikundi cha wamishonari chenye makao yake huko Venice, Florida ambacho husafirisha barua na misaada ya kibinadamu hadi nchi za carribian.
Screenshot_20220401-080557_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom