Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji2][emoji2][emoji2]acha umbea wewe!!!!ulikua wapi!povuuu lilijaa humu plus makasirikio

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yaani kazi zimenibana bina nashindwa hata kupumua[emoji1787][emoji1787]

Sina hili wala lile naona tu stoo magodauni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ukiwa jf huwezi pata stress
 
Hapa au kule nimecheka [emoji1][emoji1][emoji1]kuna mtu aliskirini shoti akajisahau akatuma humu sijui alikua anamtumia tobaaa!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Duh
Nihadithie bina[emoji23][emoji23][emoji23]
Kule

Maake hata sielewi chochote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1][emoji1][emoji1]hahaha!!kwenye simu mchawi bando tu live hatugombani kamwee!!!
Pole kwa kigugumizi nyie ndo ngumi mkononio

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikichukia sasa!!!..Nina Bibi yangu huyo Mzaa Mama akikuelezea utacheka mno..

Balaa huwa naruka juu kama Mmasai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nacheka kama mazuri[emoji2]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji11]nafikir hvyooo!!atarudi kivingine yule maana anatafuta la rohoni watu!!
Wamepita nae!ila nilikua namheshimu sana shogaa kumbe mnaafiki vile kaahh!!
Naona kwa sasa ataingia na I'd yake nyingine...
Kukaa kimya kwio sana
Humu hakuna mke mwenziwe nna wangu ananipendaa[emoji28][emoji28][emoji28]!!!na watoto wangu!
Afu sisheagi mume na washamba miyeee!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kwani kuna habari gani humu jamani?
Jobless yuko wapi?
 
Back
Top Bottom