reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,426
- 29,306
Yaani kazi zimenibana bina nashindwa hata kupumua
Sina hili wala lile naona tu stoo magodauni
Yaani ukiwa jf huwezi pata stress




kabisaa yaani!!nilikua busy lakini nkawa nakuja kuchekaSent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app


