Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenda huko..
Utanionea bure..Imagine nina miaka 8 JF Ban naisikia tu...
Hata kipindi kile JF imechafuka( nadhani unakumbuka) watu walikuwa wanalimwa Ban si mchezo....
Leo unipe Ban kirahisi tu Shem? Aaaaah Bwana!!!![emoji2]
Ban kawaida sana ikibidi aseehh!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]makasirikio at work pyeeee!!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
nipo kwenye makelele nakucheki muda si mrefu ankoo
....makelele ya Ukraine na Russia yanasumbua sana, imagine USA watu hawajui kama timu ya taifa imekwalifai wedikapu? Mangula kabwaga manyanga, nguvu ya mamba kumayi, mamba wamerudi kundini kenge wanashangilia hafu viboko wanasikia baridi wanataka kuhamia baharini

Anko Lee nna salamu zako, sio za yule ni za huyu niko naye hapa.

Wengine wote mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo nasema Happy Almost Furahiday

mkwepu jr , makaveli10 , MALCOM LUMUMBA ,
 
Back
Top Bottom