Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha!nakua mpole maana kuna mtu namheshimu sana na kuniamini sasa Mimi nikiongea ntaongea kwa ushahidi afu mambo yatakua meusi sasa!![emoji10][emoji10][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!!!afu Id yenyewe naijua[emoji1][emoji28][emoji28]shoga kumbe anajifanyaga mtuu!!kumbe mnaafiki na I'd 2,Leo mwanaume kesho mwanamke[emoji1][emoji1][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ooooooh.. Mwandiko niliushtukia mapema sana.
Then Babe akawa analike Comment[emoji28]
 
Kuna mtu Mods wamepita naye....
He he he...
reymage faida za kukaa kimya umeziona? Naona na comment baadhi zilianza kufutwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji11]nafikir hvyooo!!atarudi kivingine yule maana anatafuta la rohoni watu!!
Wamepita nae!ila nilikua namheshimu sana shogaa kumbe mnaafiki vile kaahh!!
Naona kwa sasa ataingia na I'd yake nyingine...
Kukaa kimya kwio sana
Humu hakuna mke mwenziwe nna wangu ananipendaa[emoji28][emoji28][emoji28]!!!na watoto wangu!
Afu sisheagi mume na washamba miyeee!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji11]nafikir hvyooo!!atarudi kivingine yule maana anatafuta la rohoni watu!!
Wamepita nae!ila nilikua namheshimu sana shogaa kumbe mnaafiki vile kaahh!!
Naona kwa sasa ataingia na I'd yake nyingins

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzangu!!! Tukaanza kutukanwa na sehemu zetu nyeti utadhani anazijua[emoji2]
 
Ooooooh.. Mwandiko niliushtukia mapema sana.
Then Babe akawa analike Comment[emoji28]
Yaani acha kabisaa sikutegemea kabisaa

Ila mmegundua kuna watu humu tunaishia nao tu!unaafiki mwingi na wanapenda watu wagombane sana maana mpk watu wanakosea[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]wanatuma humu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzangu!!! Tukaanza kutukanwa na sehemu zetu nyeti utadhani anazijua[emoji2]
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]balaa kabisaa yaani ujue nilikua nacheka sana !ila mi sipendagi ugomvi sana napendaga sana amani ila ugomvi nauweza mnooo!!!
Ametafuta shaari kachokaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]balaa kabisaa yaani ujue nilikua nacheka sana !ila mi sipendagi ugomvi sana napendaga sana amani ila ugomvi nauweza mnooo!!!
Ametafuta shaari kachokaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Afadhali ya wewe unapenda Amani na Ugomvi unauweza[emoji23]

Mimi sipendi Ugomvi jamani...tena kama sasa hivi..Nimekuwa ni mtu wa ku'ignore vitu si kawaida....Ila ikitokea..Uwiiii[emoji23]Na hiki kigugumizi sasa[emoji23]
 
Back
Top Bottom