NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
Hahahaaa kumbee
Hahahaaa kumbee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pika sasaNalalaje na njaa bwana!! Nilikuwa nataka kupika halafu nikasahau. Sasahivi ndio nakumbuka sijala[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo usubirie aifoniHawajawahi kunipa hata peremende, waje kudai waone!
Naaaaam Shem lake...Usimsemeee sana shem darling ...hana wasi wasi na mimi
Babe sijawahi nunua bag kikuuu [emoji23][emoji23] uko nanunuaga jezi tu za ManchesterMabegi ya shunie mbona og
Au nikufanye uwe shemchawaa[emoji1787][emoji1787]Sijamharibu...
Yeye ananikubali mimi.. Kwa mashemeji zake[emoji23]
Mweeeh!! Dunia ina mambo hii[emoji2297][emoji2297]Naaam Shem... Niko hapa.
Neno lako kwangu ni sheria..
He he he.. Uncle huyu.Kwa hiyo ni binamu tu ndo anakufanya utabasamuuu...ana pisi kama 4 hapa sasa endelea kumchekea
Tulia basi[emoji23]Kawa tena shem darling[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji15]
Hahahahaha kwamba wanaokuandama watasema kuwa mabegi ya shunie kumbe ananunua kikuu elfu sita mia saba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Babe sijawahi nunua bag kikuuu [emoji23][emoji23] uko nanunuaga jezi tu za Manchester
Kabisa...Kabisa..Shem tuyaachee....sema hii dunia ni gunia
Na wewe umepitaaaa kabisaaaaaNaaaaam Shem lake...
Ishi sana Shem.. huna baya na mtu.. Wanakuvuruga tu..
Kwahiyo wewe ni shemeji? Basi sawa.Sijamharibu...
Yeye ananikubali mimi.. Kwa mashemeji zake[emoji23]
Mbaya sana....hapa wengine anawapa namba zanguHe he he.. Uncle huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au nikufanye uwe shemchawaa[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nalalaje na njaa bwana!! Nilikuwa nataka kupika halafu nikasahau. Sasahivi ndio nakumbuka sijala[emoji1787][emoji1787]
Bag zangu zinaanzia elfu 50Hahahahaha kwamba wanaokuandama watasema kuwa mabegi ya shunie kumbe ananunua kikuu elfu sita mia saba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sahiziiii[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pika sasa
Yale anaagiza Direct kutoka kwa Madisigner[emoji2]kikuu hamna kitu pale[emoji28]Mabegi ya shunie mbona og