[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We muache, nitatema mate chini macho yageukie kisogoni.
Hawajawahi kunipa hata peremende, waje kudai waone!Au wanakudai zawadi walizokupa?
Kwa hiyo ni binamu tu ndo anakufanya utabasamuuu...ana pisi kama 4 hapa sasa endelea kumchekeaUncle Heshima yako[emoji23]
Store kama store Shem...Store ya mabegi au store ya kama store
Kawa tena shem darling[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji15]Usimsemeee sana shem darling ...hana wasi wasi na mimi
Kuna Og pale Shem?Mbona wewe wanakuletea mpaka mlangoni vitu og
Shem tuyaachee....sema hii dunia ni guniaStore kama store Shem...
Unalizungumziaje hilo? Au tuyaache?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza
Nalalaje na njaa bwana!! Nilikuwa nataka kupika halafu nikasahau. Sasahivi ndio nakumbuka sijala[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu lala basi..
NdiwooooooKawa tena shem darling[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji15]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Labda wa mpito ndo walikuwa wa mchongoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mabegi ya shunie mbona ogKuna Og pale Shem?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu aunt Makiiii ndo mzuri[emoji1787][emoji1787]
Naaam Shem... Niko hapa.Alafu aunt Makiiii ndo mzuri[emoji1787][emoji1787]
Au unasemaje mubeibeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaaaaaaah...Naaam Shem... Niko hapa.
Neno lako kwangu ni sheria..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawajawahi kunipa hata peremende, waje kudai waone!