Auntie Basi.. Basi..
Umetukana kwa sauti ya Lee hapo
Umenikumbusha Ile Life Auntie...ulikuwa unagawa likes tu
Yaaani...Watu wako na muda sana aiseee...Sanaaaa pm hakufai watu waache kuongea habari zao na maisha yao wanaanza kumuongelea shunie na kutumiana shots mbwa hawa
Leo sijui umemficha wapi Shem wangu...ila Lee WhatsApp anavyonisema anisamehe tu
Umenikumbusha Ile Life Auntie...
Nimecheka mno
Sijui kazi zao wanafanya saa ngapi kazi kusema watu pm tu shunie hivi shunie vile yaani wanikome kabisa hawa mbwaYaaani...Watu wako na muda sana aiseee...
Anaumwa masikini hayupo sawaLeo sijui umemficha wapi Shem wangu...
Wajute mtu na mtuweAcha tu..
Kuna watu siyo wakuchukoza
Wajute mtu na mtuwe
Mpe pole sana jamani..Anaumwa masikini hayupo sawa
Wajute mtu na mtuwe
Zimefika auntieMpe pole sana jamani..
Mwambie amemissika sana jamani...
Nikiamka mali zangu zoote naziona. Ndoo na kopo la kuogea, jiko langu la mkaa uvunguni, shangazi kaja yangu ya nguo, na siwazi wala nini.Kwani weww Unaishi store?
Matusi ya Shunie sio madogo ndugu yangu, inabidi kikao cha ukoo kikae.Acha tu life hiili!hii infinix tolea la kwanza kabisaa!!!na kimeo balaa!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nikiamka mali zangu zoote naziona. Ndoo na kopo la kuogea, jiko langu la mkaa uvunguni, shangazi kaja yangu ya nguo, na siwazi wala nini.