Makapuku Forum

Yaani ana hangaika vibaya sana halafu mimi huwa siachwiii naacha

Ila nimemkumbuka mchumba angu Lee jana alinichekesha sana eti tulikuwa mapumziko hatujaachana ila Lee [emoji23][emoji23]
Kwamba Unaacha Auntie...M'Tanga wewe!!!!
Hiyo aya ya pili imenikumbusha jana..kwamba uliona urudi ulipokuwa[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…