[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MniacheeeeeeKama kaungua basi na ndugu yetu nae tayari. Hivi unaweza mtangazia mwanaume wako kaungua kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Yani walivyo mabolizozo hata hawatumii tu akili kwamba hamna mtu analala na mtu halafu anamtangaza ana UKIMWI
Kweli hata akili ndogo kama hiyo kaikosa? SijategemeaSasa kwani hata akili ya kung'amua hilo unafikiri anazo!!
Si ndio maana ukatoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi wa kutaka kuzaa kweli mimi jamaniii naanzaje kuzaaa kifala
Punguza Upambe We Mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jobless hebu tulia kwanza mimi nataka aifoni.
Sijui kwa nini kila nikisoma hiyo jobless nacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie bora sasa ningekuwa nayo jamani ila nimetungiwa nina mimba mpaka nimeitoaSi ndio maana ukatoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguza Upambe We Mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajui tu namna nilivyohangaika...
Then anataka tena kuleta balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa nawaza hivi sio yale mabooza mawili ya siku zote kweli[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujacheka kama nilivyocheka mimi wakati nasoma chart zaoSijui kwa nini kila nikisoma hiyo jobless nacheka[emoji23][emoji23]
Watu wako na vioja jamani...
Wewe unatakaje kwani?[emoji2]Kwahiyo kaungua au hajaungua jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kuna mambo ukiyasikia unacheka kwanza badaya ya kureact[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie bora sasa ningekuwa nayo jamani ila nimetungiwa nina mimba mpaka nimeitoa
Namchek tu namna anavyochochea hapa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angejua kazi uliyoifanya jana na kunistopisha asingefukua makaburi
Ila Auntie jamani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujacheka kama nilivyocheka mimi wakati nasoma chart zao
Mtu kabeba na mimba mpaka kuitoa bila kujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila kuna mambo ukiyasikia unacheka kwanza badaya ya kureact[emoji23]
Ila... Huyo jamaa kazi anayo[emoji23]Mtu kabeba na mimba mpaka kuitoa bila kujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waniacheee jamaniii kama kaungua ajue na auntie yake nimoooWewe unatakaje kwani?[emoji2]
Yaani auntie sijui huwa wanafikilia nini na habari zao jamaniIla kuna mambo ukiyasikia unacheka kwanza badaya ya kureact[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wana bahati siku mbili zote nipo soberNamchek tu namna anavyochochea hapa..
Hajui ukianza tena itabidi na yeye aangaike..Na hakuna namna anaweza kukwepa..