Mmhhh!???sielewi haki tena!Narudia tena endeleeni na ujinga wenu uko pm chart zenu nitaziweka hapa
Yaani siogopi yeyote shenzy nyie
Na hivi sijui lolote hapa jeifuniii!!!!Wanikome. Tabia za kishamba shamba toka lini? Kwanza naanzaje yani? Nasisitiza tena WANIKOME kama wamemaanisha na mie niko kwenye ujinga wao.
Mmhhh!!!kuna mbwa zinakera sana yaani wanakaaa tu uko pm kwao wanakutungia habari eti shunie anataka kumwandikia thread mtu ana ukimwi hivi hawa mbwa wananichukuliaje mimi lakini kunitungia story zao yaani unabaki unashangaa kusikia hizo habari maana ndio mara yako ya kwanza na evidence juu yaani huyu dada anikome jamani kunifatafata
Atapita atasoma, kama ni muelewa atajirekebisha. 😁D huyu dada kazidi ujue sio mara moja kila siku shunie yaani anikome anikome mbwa huyuuuu
Penye wengi kuna mengi..
Humu unaweza sikia kitu cha kuhusishwa nacho mpaka we mwenyewe ukashtuka hiki ni changu kweli au wamekosea jina!!
Muhimu ni kupotezea, ukiona ni too much unalala nae mbele tu
Kunywa maji ulale 😃Mmhhh!!!kazi mnayo miye sielewi!ndo nimekuja humu nakuta mambo meusi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hakunifai kwaherini!!!shunie na mashosti zakeKazidi huyu mbwa kila siku kaniweka moyoni
Upo jamani?
Nipe pole kwanza Rafiki...Nililetewa kitukoulishawahi kuagiza gauni rafiki ?
Hahahah!!dunia hii!mkishindwa nikodisheni nimletee uswahili wa mbagala!Ujinga tu mkwe
Siwezi kukunyima mkwe wangu
Humu ndani kuna unyoko mwingi 🤓 kama una roho nyepesi utaishia kuumia sana
Naend kutuma picha kule kwetu mwenzio!Kunywa maji ulale
Niko mrembo huku sio kwangu napitaga Mara 1 kwa mwaka nashangaa nakuta habari nzito ndo nimetulia hapaaUpo jamani?
You're missed...
Usisahau tag mrembo 😎Naend kutuma picha kule kwetu mwenzio!;;!;ya huku siyawezi shooo
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Humu ndani kuna unyoko mwingikama una roho nyepesi utaishia kuumia sana
Ndo kilichobaki hikii!huku sipawezi na hivi sinaga shostiUsisahau tag mrembo
Download play storeTapatalk inapatikana wapi hii?