Makapuku Forum

App ni changamoto sana Rafiki...Nami natumia hiyo hiyo..

Mimi mzima kabisa Nige..Sijui wewe? Weekend imekuw poa, poa kabisa..Sijui upande wako.
Nafurahi kusikia hivyo rafiki yangu, weekend ilikuwa safi pia...

Weekend ndio inamalizika, kesho pia ni siku nyingine tena rafiki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti shunie na rafiki zake wanataka kuweka thread mimi huyu mnikomeeee na story zenu za kutunga uko pm ebu achaneni na mimi ongeeni mambo yenu
Kwani kuna habari gani?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Naomba name mnitumie mwenzenu kwa kua Niko selfika mkwe unanikataaa!!kweli?!!
Au nije wosap

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu mambo ya jf acha tu umekaa huna hili wala lile unaambiwa unaambiwa ooh mnataka kuweka thread sijui mumseme mtu ana ukimwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
Nani?!!huyooo!!nna hamu na ugomvi[emoji143][emoji57][emoji57][emoji57][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nna hamu na ugomvi jf emu niuzie kesi shunie Na mashoga zakoo!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…